Wanawake 30 waliokimbia makazi yao katikati mwa nacaca wananufaika na mhadhara kuhusu unyanyasaji wa majumbeni.

27 January, 2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 27,2022, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Delgado.

Zifuatazo ni mahada za habari.

🔸H2N inatoa mafunzo kwa vijana waliohamishwa juu ya stadi za maisha katika Jami.

🔸Wanawake 30 waliokimbia makazi yao katikati mwa nacaca wananufaika na mhadhara kuhusu unyanyasaji wa majumbeni.

🔸Gavana wa Cabo Delgado anasema kuwa jimbo hilo limeuza zaidi ya tani 700.000 za bidhaa mbalimbali.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down