Vikosi vya Namparama vimidai kuwaua magaidi 11

6 December, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 06,Desemba 2022.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Vikosi vya Namparama vimidai kuwaua magaidi 11.

🔸 Paulo Kagame amesema kuna zaidi ya wanajeshi 2500 wa Rwanda ambao wako huko Cabo Delgado.

🔸 Selekali katika mkoa wa Niassa wanajadili kuhusu kuepo kwa mienendo ya ajabu katika wilaya sita.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Pluaral Media habari kwa Lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down