Serikali hutoa bidhaa kwenye masoko baada ya uporaji wa magaidi

21 March, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Serikali hutoa bidhaa kwenye masoko baada ya uporaji wa magaidi

🔸 Majeshi waimarisha doria katika ufuo wa baharini wa Cabo Delgado

🔸 Serikali yaidhinisha maombi ya usiku wakati wa Ramadani wilaya ya Macomia.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz .org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down