Polise imewashikilia vijana 30 wanaotuhumiwa kuwa magaidi huko Balama

4 August, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Alkhamisi hii Agosti,04,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Polise imewashikilia vijana 30 wanaotuhumiwa kuwa magaidi huko Balama.

🔸Mashambulizi ya kigaidi yanaathir utekelezaji wa mazingira katika wilaya tano za Cabo Delgado.

🔸Chuo kiku cha kijeshi cha Nampula kinataka kuelewa hali ya kigaidi huko Cabo Delgado.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook,cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kinuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down