Msumbiji na Tanzânia wanajadili tena ugaidi huko Cabo Delgado

29 September, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hii.
Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Alhamissi hii 29.09.2022 tunayo mambo yafuatayo.

🔸Msumbiji na Tanzânia wanajadili tena ugaidi huko Cabo Delgado.

🔸Wilaya ya Mueda na Nangade zilishambuliwa tena.

🔸Katika wiki iliopita kulikuwa na matukio nane ya silaha uko Cabo Delgado inaonyesha ripoti.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook,cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeye habari za kila siku kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down