Magaidi watoa vídeo wakia na mili ya wanaodaiwa kuwa Namparamas

9 February, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 09,februari,2023,Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸Magaidi watoa vídeo wakia na mili ya wanaodaiwa kuwa Namparamas.

🔸Balabala kati ya Montepuez na Mueda aipitiki Kutokana na hofu ya mashambulizi

🔸Watu waliokimbia makazi Yao huko corrane Jimbo la Nampuala awana Dawa.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telegram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down