Magaidi wametoroka pwani ya Macomia ili kwepuka mashambulizi ya vikosi vinavyounga mkono serikali
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 22,Agasti,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Kuna mazingira mazir ya kurudi makumpuni.
🔸 TotalEnergies wanafanya kazi Cabo Delgado.
🔸 Magaidi wametoroka pwani ya Macomia ili kwepuka mashambulizi ya vikosi vinavyounga mkono serikali.
🔸 SAMIM wameanza mazowezi katika kituo Cha vikosi via maji cha Pemba.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.