Magaidi sita wameuawa katika wilaya ya Muidumbe

9 May, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 09 Mei 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Magaidi sita wameuawa katika wilaya ya Muidumbe.

🔸 Mamlaka ya wilaya ya Mueda inachangamoto ya kudhibiti mpaka.

🔸 Japan itaunga nkono Mozambique kupambana na ugaidi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na grogram yoyote ya podcast au tembelea habari kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +25884285766 Kisha uchague lugha yako unayopendelea, kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down