Katibu mkuu wa Mocimboa da praia anaomba kurejeshwa kwa haraka kwa watumishi wa umma.

29 March, 2022
Membros da forca conjunta de Mocambicanos e Ruandeses marcaram natal na vila de Mocimboa da Praia

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado halamisi hi macho 31,03,2022.

🔸Katibu mkuu wa Mocimboa da praia anaomba kurejeshwa kwa haraka kwa watumishi wa umma.

🔸Wanawake na watoto mateka zaidi wanawasili katika wilaya ya Macomia.

🔸Ujumbe wa SAMIM unasema kuwa uliua waasi 8 huko Matemo.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za avoz.org au kotoka kwa kurasa zetu za Facebook,chenel,ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako,kireno,emakwa,shimakonde kimuani au kishuahili.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down