Kutoroka kwa walimu na wanafunzi huzui kwanza tena masoma Wilaya ya Macomia na Quisanga

23 May, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Mwanamke mwenye umri miaka 21 abakwa na watu wasiojulikana katika kisiwa cha Matemo

🔸 Kutoroka kwa walimu na wanafunzi huzui kwanza tena masoma Wilaya ya Macomia na Quisanga

🔸 PNUD inatenga matrekta na kompyuta Wilaya zilizoathiriwa na ugaidi huko Cabo Delgado.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, Kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down