Magaidi huwachilia mateka katika uso wa mifuko ya njaa kwenye ngome zao

24 March, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado ijuma hi machi,25,2022.

🔸Magaidi huwachilia mateka katika uso wa mifuko ya njaa kwenye ngome zao.

🔸Nangade anazidi kuachwa kutokana na ukosefo wa usalama.

🔸PMA inahitaji Dola milioni 17 kwa muezi kwa ajili ya mgogoro wa kibinadamu kaskazini nchi.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za sauti za avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za facebook, cheneli ya telegram,na program yoyote ya podcast.

Pokea habar za kila siku kwenye wahasapp kwa kutuma ujumbe kwenda +248843285766 kisha uchague lugha yako,kireno,emakwa shimakonde,kimuani au kishahili.

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down