Wasiriwa wa ugaidi wanawatafuta wafadhili

4 July, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 04 Júlai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

Mipango ya usaidizi Kwa

🔸 Wasiriwa wa ugaidi wanawatafuta wafadhili.

🔸 ONU yaitambua Cabo Delgado ripoti ya Mitandao ya ufadhili ya Islamic state .

🔸 Kazi za ukarabati na upanuzi tayari zimeanza kwenye bandari ya Mocimboa da Praia.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down