Serikali yaondoa leceni ya uchimbaji Madini Cabo Delgado

4 July, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 04.07.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa vya Habari:

🔸 Serikali ya Cabo Delgado iko mbali na kudhibiti uchimbaji haramu wa Madini

🔸 Serikali yaondoa leceni ya uchimbaji Madini Cabo Delgado

🔸 Mozambique na Tanzania wanajadili kupambana na ugaidi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +2543285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, Kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down