CIP inashutumu ukahaba na unyanyasaji wa kingono Kwa wanawake waliokimbia makazi yao uko Cabo Delgado

1 June, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado Cabo Tarehe 01,Juni,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Maleiane anatoa wito Kwa wafanyabiashara Huko Cabo Delgado kuchukua fursa ya kuchimba gesi.

🔸 Meli itwayo Coral Sul imelipa mapato ya dola milioni 34 Kwa serikali.

🔸 CIP inashutumu ukahaba na unyanyasaji wa kingono Kwa wanawake waliokimbia makazi yao uko Cabo Delgado.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Média habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down