Ntoto afariki kutokana na bomu ya Ardhini Mocimboa da Praia

18 June, 2024

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.06.2024.Ssuti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa vya Habari:

🔸 Ntoto afariki kutokana na bomu ya Ardhini Mocimboa da Praia

🔸 Mgombea wa Frelimo Daniel Chapo ashawishika kushindwa dhidi ya Magaidi

🔸 Kampuni ya Uswidi kuunga mkono Mozambique Katika vita ya Magaidi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz .org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285788 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down