Tafiti zinaelekeza kwenye mazungumuzo za washambuliaji ili kukomesha ugaidi

28 April, 2022

Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April 28,2022.

🔸Tafiti zinaelekeza kwenye mazungumuzo za washambuliaji ili kukomesha ugaidi.

🔸Wausi 14 wauawa wilayani Nangade.

🔸CAF inatowa Dola za Merekani 500.000 kuwasaidia watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado za avoz.org kupitia kurasa zetu mpya za Facebook,chenel ya telgram na program yoyote ya
podcast.

Pokeya habari kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down