Mchanganuzi wa uchumi anahonya Mozambique kurekebisha deni lake ili wanufaike na mapato ya gesi kutoka Palma

2 November, 2023

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 02.11.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

kwasasa mambo muhimu.

🔸 Mchanganuzi wa uchumi anahonya Mozambique kurekebisha deni lake ili wanufaike na mapato ya gesi kutoka Palma.

🔸 Mwananke anahonekana kwenye ndege katika hali ambazo hazijawahi kutokeya.

🔸 Magaidi Walizunguka vijiji via Mocimboa da Praia na Meluco.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook , telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down