Watu 900.000 wako katika hatar ya njaa kaskazini mwa Msumbiji kutokana na vita ya ugaidi

25 August, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo ili Alhamissi hii Agosti 25. 2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Watu 900.000 wako katika hatar ya njaa kaskazini mwa Msumbiji kutokana na vita ya ugaidi.

🔸Serikali haijui sababu za mashambulizi huko Cabo Delgado na inataka jibu kutoka kwa wasomi.

🔸Magaidi wanne wajisalimisha kwa vikosi vya ulinzi katika wilaya ya Macomia .


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook,cheneli ya telgam na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down