Majeshi wa UIR wanashutumiwa Kwa ulafi Katika mji wa Macomia

26 June, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 26.06.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa vya Habari:

🔸 Majeshi wa UIR wanashutumiwa Kwa ulafi Katika mji wa Macomia

🔸 Wafanyikazi wa umma wagoma kurudi Quissanga

🔸 Mamlaka hutayarisha vituo vya Magaidi wanaotubu.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz .org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down