Mabaki ya binadamu yapatikana Katika mji wa Macomia

6 June, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 06.06.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa vya Habari:

🔸 watu kuchukuliwa Kwa nguvu wanapotoka nje Wilaya ya Chiure

🔸 Idade ya watu Mbau Awana huduma ya afya

🔸 Mabaki ya binadamu yapatikana Katika mji wa Macomia.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani, na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down