Mzunguko wa watu waodhaniwa kuwa Magaidi unazuwa hofu Katika Wilaya ya Ancuabe

2 July, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 02.07.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa vya Habari:

🔸 Mzunguko wa watu waodhaniwa kuwa Magaidi unazuwa hofu Katika Wilaya ya Ancuabe

🔸 Serikali ya Metuge aina pesa ya kuwasaidia wathiriwa

🔸 Mapambano dhidi ya ugaidi yaleta Maendeleo makubwa Asema Nyusi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, Kimakuwa, kimakonde, Kimuani, na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down