Mashambulizi na hali mbaya ya hewa huzidisha hali ya njaa Mocimboa da Praia

28 June, 2024
Membros da forca conjunta de Mocambicanos e Ruandeses marcaram natal na vila de Mocimboa da Praia

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe, 28.06.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa vya Habari:

🔸 Mashambulizi na hali mbaya ya hewa huzidisha hali ya njaa Mocimboa da Praia

🔸 Magaidi walipata hasara kubwa Muezi wa mei.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down