Wafanyikazi wanalalamika kwa ukosefu wa huduma huko Mocimboa da Praia

Get our app
Android
iOS
26 April, 2022
Membros da forca conjunta de Mocambicanos e Ruandeses marcaram natal na vila de Mocimboa da Praia

Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza záidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Jumanne hi Abril 26,2022

🔸ExxonMobil itaingia tu kwenye uchunguzi wa gesi baada yaTotal kurejea ardhini.

🔸Wafanyikazi wanalalamika kwa ukosefu wa huduma huko Mocimboa da Praia.

🔸Vijana wanataka kukomeshwa kwa mashambulizi ya kigaidi ya macomia.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook,chenel ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari kila siku kwenye whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishahili.

Plural Media habari kwa Lugha yako.

Intro shimakonde

Text in shimakonde

Dyshomegwe namene

magnifierchevron-down