Kampuni ya Total Energies yafungua ofisi ya habari katika mji wa Pemba

Get our app
Android
iOS
15 December, 2021
Director de TotalEnergies em Mocambiqeu, Maxime Raubillard

Habari yako karibu, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December,15,2021, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Kampuni ya Total Energies yafungua ofisi ya habari katika mji wa Pemba.

🔸Luisa Meque anatowa wito kwa waliokimbia makazi yao kuogeza uzalishaji wa kilimo.

🔸Watu binafsi kukatwa semu ndogo ya siri kwa madai ya kukiuka kanuni za unyago kisiwane Pemba.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Intro shimakonde

Text in shimakonde

Dyshomegwe namene

magnifierchevron-down