ADIN inapeana vifaa 600 kwa watu waliohamishwa kutoka Mueda
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December 06.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸ADIN inapeana vifaa 600 kwa watu waliohamishwa kutoka Mueda.
🔸Ujumbe wa SADC uko Cabo Delgado unasisitiza kazi yake ya kuwarudisha watu waliokimbia makazi yao.
🔸Dayosisi ya Lichinga inaunga mkono watu waliokimbia makazi yao kutokana na ugaidi kutoka Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +2588432885766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.