Kuzuka Tena matokeo a vita na nvula nhingi mpodi visababisha njala Mocimboa da praia

28 June, 2024
Membros da forca conjunta de Mocambicanos e Ruandeses marcaram natal na vila de Mocimboa da Praia

Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 28.06.2024. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média kwa kwavyana na kipinga tchitiwa Cabo Ligado.

Viswa vikulu ya habari ndivi:

🔸 Kuzuka Tena matokeo a vita na nvula nhingi mpodi visababisha njala Mocimboa da praia

🔸 Mashababi walumizika sana mwezi na watano upitile


Zidini kiphata habari za mana za Cabo Delgado kwa njila ya ukurasa wa Facebook, Telegrama na kwa Podcast ema kwa ukurasa wa internet avoz.org

Sikilizani habari kamba ezi kwa lugha djiss djiss kwa kupeleka ujumbe mu WhatsApp kila Jummane na alhamisisi kwa kutumila +258 843285766 ncaty ya lugha ya Kizungu, Kimakuwa, Kimakonde, Kimuani na Kiswahili ama Kijojo.

Plural Média-Habari kwa lugha yenu

Intro text in Kimawani

Lorem ipsum

Za kufyomiwa pakula

magnifierchevron-down