Zaidi ya watu elfu 4 hivi karibuni walihamia Cabo Delgado

7 November, 2023

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 07.11.2023. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Umoja wa Mataifa utatowa msaada wa wasiriwa wa ugaidi na matukio ya asili uko Cabo Delgado

🔸 Zaidi ya watu elfu 4 hivi karibuni walihamia Cabo Delgado

🔸 Vijana wa Cabo Delgado waliandamana kukataa vita.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avor.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down