Wazir wa ulinzi anatabiri kuongezeka kwa gasia Huko Cabo Delgado

3 October, 2023

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 03 Oktoba, 2023.
Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Wazir wa ulinzi anatabiri kuongezeka kwa gasia Huko Cabo Delgado

🔸 Umoja wa ulaya unasambaza vifaa vya kufanya kazi wilaya kadhaa za Cabo Delgado

🔸 Vifaa vya kufanya kazi Hospitali vinawasili katika Hospitali ya Mkowa wa Pemba.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.or.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down