Wazili wa ulinzi Cristóvão Chume ,anahakikisha kwamba Total Energies Hawakuomba kuondoka Majeshi Afungi
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 29 Juni 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Huduma za kimsingi azipo Katika maeneo yalioyoathiriwa na ugaidi uko Cabo Delgado.
🔸 Wazili wa ulinzi Cristóvão Chume ,anahakikisha kwamba Total Energies Hawakuomba kuondoka Majeshi Afungi.
🔸 Mkuu wa wizara ya ulinzi wa Rwanda amewatembela wanajeshi wa Rwanda Huko Mocimboa da Praia.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.