Watu wawili wamewaua Kwa kukatwa vichwa wadhifa wa utawala wa chai wilaya ya Macomia

20 July, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20 Julai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Serikali imetangaza orodha ya Magaidi 43 wanaoendesha shughuli huko Mozambique.

🔸 Watu wawili wamewaua Kwa kukatwa vichwa wadhifa wa utawala wa chai wilaya ya Macomia.

🔸 Gari limeteketezwa na moto katika Kijiji cha Macomia.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down