Watu watatu wameuawa baada ya shambulio karibu na makao makuu ya wilaya ya Nangade

28 July, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusukiliza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Alhamisi hii Julai 28, 2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo:

🔸 Watu watatu wameuawa baada ya shambulio karibu na makao makuu ya wilaya ya Nangade.

🔸Badhi ya watu wengine waliokimbia vita waliomo Metuge awana ardhi kwa ajili ya kilimo.

🔸 Mzozo katika Cabo Delgado unaweza kuathiri kalenda ya uchaguzi.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado, kupitia kurasa yetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook, cheneli ya Telgaram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +25884285766 kisha uchague lugha yako kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani, na kiswahili.

Plural Média - habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down