Watu wanne mamekamatwa Kwa tuhuma za kufadili magaidi

21 November, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Watu wanne mamekamatwa Kwa tuhuma za kufadili magaidi

🔸 Utafiti wa SIP unaonyesha ongezeko la matumizi ya ulinzi huko Cabo Delgado

🔸 Zaidi ya mashirika 100 yasiyo ya kiserekali yatoa wito wa kukatizwa kwa mradi wa TotalEnergies Kaskazini mwa Mozambique.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avor.org.

Na unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down