Watu wanarejea Miangalewa baada ya mashambulizi ya kigaidi

17 January, 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya Cabo Delgado terehe 17.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa via Habari:

🔸 Daniel Chapo anaahidi kuimarisha Jeshi Katika juhudi za kukabiliana na waasi huko Cabo Delgado

🔸 Watu wanarejea Miangalewa baada ya mashambulizi ya kigaidi

🔸 Watu watano walitekwa nyara huko Macomia.


Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami, ya Mueda Montepuez na Palma.

Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga yako uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down