Watu wa silaha wanatisha wilaya ya Montepuez.

2 August, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Agosti 02. 2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Mashirika ya kibinadamu yanakabiliwa na ugumu wa fedha za kukabiliana na hali ya wakimbizi Cabo Delgado.

🔸Mashambulizi ya gari imesababisha kifo na majeruhi huko Macomia.

🔸Watu wa silaha wanatisha wilaya ya Montepuez.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook, cheneli ya Telegram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatsap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down