Watu sita walikufa katika mashambulizi mapya hukp Macomia na Palma

24 May, 2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii mei 24,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Serikali inawapa watu wengine ardhi ya watu waliohamishwa makzi huko Cabo Delgado Bila kushauriananao.

🔸Watu sita walikufa katika mashambulizi mapya hukp Macomia na Palma.

🔸Watumishi wengi wa muidumbe bado awajarejea wilayani humo

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu da Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +25884328766 kisha uchague lugha yako kati ya Kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishuhili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down