Watu hupata Miili miwili isiyo na uhai katika wilaya ya Metuge

30 November, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 30.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Japan inataka juhudi zaidi kuboresha usalama Huko Cabo Delgado

🔸 Moto wateketeza ghala la SISE na dawa zilizokamatwa huko Cabo Delgado

🔸 Watu hupata Miili miwili isiyo na uhai katika wilaya ya Metuge.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down