Wanajeshi wa Rwanda wanahonekana kufanya kazi eneo la macomia,eneo la misheni ya SADC
21 April, 2022
Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April,21,2022.
🔸Wanajeshi wa Rwanda wanahonekana kufanya kazi eneo la macomia,eneo la misheni ya SADC.
🔸Hali ya usalama inazidi kuimarika,anateteya Wazir wa ulinzi wa taifa.
🔸CDD inataka mazungumuzo na wachambuzi Uruma wa ruby huko Montepuez.
Emdelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za mpya za avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za facebook,chenel ya telgram yoyote UA podcast.
Pkeya habari kila siku kwenye whatssap kwa kutukma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yaka kati ya,kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishahili.
Plural media habari kwa lugha yako.