Wanajeshi 16 Wameuawa huko Macomia.

20 September, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hili.
Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Jumanne hii septemba 20.2022,tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Wanajeshi 16 Wameuawa huko Macomia.

🔸Nsafara wa usindikizaji wa majeshi wa Msumbin na wa Rwanda umevamiwa huko Nangade.

🔸Kitua cha ukuzaji Mahendeleo huko Cabo Delgado (CPD) bado akijulikane.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook,chenel ya telgram na program yoyote ya pocast.

Pokeya habari za kila siku kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down