Wakimbizi awana tarifa ya mwisho wa msaada wa mashirika ya kibinadamu
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 17,Júlai ,2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Vijana kutoka wilaya ya Macomia wanalani ukosefu wa nafasi za kazi.
🔸 Wakimbizi awana tarifa ya mwisho wa msaada wa mashirika ya kibinadamu.
🔸 Mkuregunzu wa Total Energies anakubali umuhimu wa kujumuisha wakazi wa eneo Hilo katika fursa.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno,kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.