Wafanyabiashara thamanini tayari wanajenga upya Mocimboa da Praia.

1 September, 2022

Karibu kwenhe Sauti ya Cabo Delgado, mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo Ili. Alhamissi hii Septemba 01,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo:

🔸 Shambulio jengine jipya la kigaidi limesababisha vifo vya watu sita katika wilaya ya Ancuabe.

🔸 Huduma za INSS zimefunguliwa katika wilaya ya Mocimboa da Praia.

🔸 Wafanyabiashara thamanini tayari wanajenga upya Mocimboa da Praia.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avo.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook, cheneli ya Telegram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssApp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya Kireno, Kimakuwa, Kimakonde, kimuani na Kiswahili.

Kipindi hiki kimetengenezwa na Plural Média habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down