Wachimba migodi watatu walikatwa vichwa katika wilaya ya Montepuez

21 July, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Alhamisi hii julai,21,22. Tunayo mabu muhimu yafuatayo.

🔸Wachimba migodi watatu walikatwa vichwa katika wilaya ya Montepuez.

🔸Kikosi cha ndani kinaomba silaha na chakula ili kupambana na magaidi.

🔸Maisha yanaelekeya kurudi katika hali ya kawaida katika wilaya ya Palma.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde kimuani,au kishahili.

Plural Media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down