Wachambuzi wanatoa wito Kwa serikali kukabiliana na chanzo halisi cha ugaidi

31 August, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 31.Agasti 2023, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Udhibiti wa Sheria ya kuzuwia na kupambana na ugaidi umedhinishwa.

🔸 Kamanda mkuu wa Polisi wa Mozambique ametangaza vifo 30 vya viongozi wa kigaidi tangu Kuanza uasi.

🔸 Wachambuzi wanatoa wito Kwa serikali kukabiliana na chanzo halisi cha ugaidi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down