Waasi wanaendelea mashambulizi katika wilaya ya Ancuabe na kuua watu 07.

7 June, 2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Juni,07,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Waasi wanaendelea mashambulizi katika wilaya ya Ancuabe na kuua watu 7.

🔸Polisi huko Cabo Delgado wanawashikilia watu kwa kuonekana kuwa waisilamu,ripoti ya Mercani inakashifu.

🔸Serikali itangoa hekta 25.000 huko Palma sio 12.000.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Fecebook cheneli ya telgram na program yoyote podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +25883285766 kisha uchague lugha yako,kati ya Kireno,Emakwa Shimakonde,Kimuani au Kishuhili.

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down