Waasi wamiwateka nyara watu 12 kaskazini mwa wilaya ya Nangade

25 May, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 25.Mei.2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 TotalEnergies imetoa ripoti juu tá Hali ya kibinadamu Huko Cabo Delgado.

🔸 Waasi wamiwateka nyara watu 12 kaskazini mwa wilaya ya Nangade.

🔸 Katika miezi minne ya kwanza ya mwaka huu watu 109 waliuwawa kutokana na mzozo wa Cabo Delgado.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na grogram yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down