Waasi wa Cabo Delgado waua wanajeshi watatu katika wilaya ya Nangade

9 April, 2022

Karibu kwenye sauti yá Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Ijuma hi Abril 08 2022.

🔸Waasi wa Cabo Delgado waua wanajeshi watatu katika wilaya ya Nangade.

🔸MISA inahohi kutojali kwa mamlaka kuhusu kutoweka kwa mwanahabari Ibraimo Mbaruco.

🔸Madaktari wa Cuba huenda wakarejea Cabo Delgado kusaidia waathiriwa wa mashambulizi.

Endelea kupata habari za Cabo kupitia kurasa zetu za avoz .org ou kutoka kwa kurasa zetu da Facebook,chenel há telgram,na program yoyote há podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kireno Emakwa,Shimakonde,kimuani au kishuahili.

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down