Vikosi vya eneo la Nangade vimewaua magaidi 18 wakati wa shambulio katika kijiji cha liche.

1 November, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 01,Novemba,2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Mambo muhimu kwa sasa.

🔸 Vikosi vya eneo la Nangade vimewaua magaidi 18 wakati wa shambulio katika kijiji cha liche.

🔸 Mgomo wa wafanyakazi umekwisha katika kampuni ya Syrah ya grafite wilayani Balama.

🔸 Magaidi kwa mara nyingine walivamia wilaya ya Eráti katika Jimbo la Nampula.

Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbalimbali apa: https://iono.fm/e/1237536

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down