Usalama umerejeshwa kabisa uko Palma Amesema mkuu wa wilaya
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe,12,2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Misheni ya umoja wa ulaya unaweza kuendelea nchi Mozambique.
🔸 Milioni 600 zinahitajika kurejesha miundumbinu ya sekta Haki katika Cabo Delgado.
🔸 Usalama umerejeshwa kabisa uko Palma Amesema mkuu wa wilaya.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako