Ureno inatetea kadumisha misheni ya mafunzo ya umoja ya ulaya nchini Mozambique

5 December, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 05.12.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Ureno inatetea kadumisha misheni ya mafunzo ya umoja ya ulaya nchini Mozambique .

🔸 Kuna ukosefu wa huduma za msingi za afya katika wilaya ya Montepuez.

🔸 Magaidi walirejea mto messalo wiki iliopita.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avor.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down