Ukiukaji wa haki za binadamu umeenea uko Cabo Delgado.

22 March, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado jumane hi machi,22,2022.

🔸Ukiukaji wa haki za binadamu umeenea uko Cabo Delgado.

🔸Police yatangaza kuuawa kwa magaidi kumi kwenye kisiwa cha matemo.

🔸Mamlaka zinaripoti kupunguzwa kwa msaada wa chakula kwa watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado.

Endelaa kupata habari za Cabo Delgado kuptitia kurasa zetu mpya za avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za facebook,cheneli ya telgram,na program yoyote ya podcast.

Pokea habar za kila siku kwenye whatsapp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kireno,emakwa,shimakonde,kimuani au kishahili.

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down