Ufaransa wamentangaza nsaada zaidi kwa Cabo Delgado
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 14.12.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Ufaransa wamentangaza nsaada zaidi kwa Cabo Delgado
🔸 Kampuni ya mafuta ya Indonesia yafuta mkataba wa kununuwa gesi asilia kutoka Ruvuma
🔸 Kamanda mkuu wa polísi anatetea vitendo vilivyoratibiwa kati ya matawi tofauti ya vikosi vya ulinzi huko Cabo Delgado.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.